Wednesday, December 9, 2015

Best Nasso kuja na mkwaju mpya

Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya Kulevya. Hatimae amewazilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za kweli,Na Amechia bonge moja la wimbo.

Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia Jumamosi Tarehe 12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake Ya Kuzaliwa.

No comments: