Advertisements

Saturday, December 26, 2015

Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46


Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46


Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. Source:MillardAyo.com
Lowassa 3
Lowassa 1
Lowassa 3>> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo‘

10 comments:

Anonymous said...

This is excellent. Hata afya yake sasa yaonekana bora zaidi. Naamini wenzetu wa Ukawa walikuwa wakimlisha madawa kuliko stahili yake. Du what a change and indeed a miracle!

Anonymous said...

Kuchunga wakati na wewe mwenyewe unachungwa na Mlinzi nyuma yako. Uchungaji wa karne mpya huo

Anonymous said...

Wow, what a life? Siku hizi watu wanachunga ng'ombe kama wapo ofisini. Kiatu safi cha ngozi, suruali nyeusi na shati shurti kwa kuchomekea.

Unknown said...

Chunga ngombe Baba nawe unachungwa.

Anonymous said...

Enjoy mavuno yako ya Ufisadi.

Anonymous said...

Mwandishi wa hii habari. Una uhakika na ulichoweka kwenye mtandao?? Mh. EL lini akawa na makazi Handeni!?? Au ni kutuyumbisha tuu?!

Anonymous said...

Sasa kwani lazima avae mnavyotaka nyie aargh binadamu kazi kwelikweli. Sio kila mtu lazima awe na mtazamo unaotaka wewe, your normal is not everyone's normal!

Anonymous said...

Huyu baba mnamchukua amewakosa nini? Kweli Tanzania nzima fisadi ni yeye tu...basi mwambieni magufuli amtie ndani...

Anonymous said...

Kweli wamemsakama. Mitandao imemtukana weeee...lakini mzee wa watu kimya. Amefanya kampeni zake kwa amani na utuluvu. Kwa kuthibitisha utulivu wake, amepewa tuzo ya amani. Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpa afya njema.

Anonymous said...

Maslahi makubwa ya taifa yameishia wapi, ewe Chadema kinyonga?