Sunday, December 27, 2015

GWAJIMA Amkana Lowassa; Asema Hajawahi Kumuunga Mkono!

3 comments:

Anonymous said...

😂😂😂😂😂 kweli hii ndio habari ya kufunga mwaka. Mzee wa misukule amekuwa Yuda. Anahofu Maugufuli atatumbua jipu la wachungaji tapeli wanaowanyonya watanzania maskini kwa kutumia janja ya dini, wao wanatanua na mahelikopta wakati waumini wao hawana hata baiskeli lakini wanatakiwa kuchangia maisha ya matanuzi ya huyu jamaa.

Tazama said...

Mmmmhh!.... Mungu ndiye atahukumu mji uleeee.....ondokeni mara moja wstu wake.....!!

Anonymous said...

Mmmmhh!.... Mungu ndiye atahukumu mji uleeee.....ondokeni mara moja wstu wake.....!!