ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 24, 2015

KILIMANJARO STUDIO......2015 Rewind

Muonekano wa Kilimanjaro Studio
Kuelekea mwisho wa mwaka, tunaendelea kutafakari "safari" yetu katika kazi ambazo tumefanya kwa mwaka huu.
Na binafsi (Mubelwa Bandio) naanza pia kuchagua miongoni mwa kazi BORA zaidi zilizofanyika studioni kwetu mwaka huu 2015
Ni kazi ambazo zilikuwa changamoto sana kwetu kuzifanikisha, lakini tuliweza kuzizalisha kwa kadri ya uwezo wetu
Karibu nikushirikishe


Kiliamnjaro Studio ni sehemu ya utayarishaji na uzalishaji wa vipindi mbalimbali vya Radio na Video. Tupo Beltsville, Maryland.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia simu namba 301 661 6696 ama 240 281 0574

1 comment:

Anicetus said...

Merry Christmas and maulid day. keep on doing the good job!!