| Baadhi ya wahitimu katika Picha ya pamoja |
| Baadhi ya Wazazi walio hudhuria mahafali ya Tatu katika shule ya Good Shephard Academy jijini mbeya yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya JM Forest Mbeya . |
| Wazazi waliohudhuria sherehe hizo . |
| Mkurugenzi wa Shule ya Good Shephard Academy Bw. Gervas Buthiah akizungumza katika sherehe hizo zilizofanyika katika Ukumbi wa JM hotel jijini Hapa. |
| Baadhi ya wazazi na walezi waliohudhuria sherehe hizo . |
| Baadhi ya walimu wa shule hiyo katika wakijitambulisha kwa wazazi na walezi waliohudhuria sherehe hizo ambazo zilifanyika katika Ukumbi wa JM mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. |
| Mtoto Jasmine Madafa akionesha cheti chake alitunukiwa mara baada ya kuhitimu masomo yake ya wali katika shule ya Good Shephard Academy Forest jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. |
| Watoto waliohitimu Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy |
| Pongezi kutoka kwa ndugu na jamaa kwa mtoto wao mara baada ya kuhitmu masomo ya awali katika shule hiyo. |
| Mtoto Mpeli Mwamonje akionesha cheti chake cha Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy jijini Mbeya . |
| Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya. |
| Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya |
| Pongezi kwa mtoto |
PICHA NA (JAMIIMOJABLOGMBEYA )
No comments:
Post a Comment