Advertisements

Tuesday, December 1, 2015

MKUTANO WA WANAWAKE - Columbus,Ohio | Jumamosi hii 5 Disemba 2015 | Saa Saba hadi Kumi Jioni | PAMOJA KWA UMOJA - KARIBUNI!!!

La mgambo likilia kuna Jambo!!!
Karibuni sana wanawake wote wa Columbus katika kuanzisha Umoja wa Wanawake wa Kikristo.
...
Kama ambavyo Tangazo hapo chini linavyosema.
Kama kuna Maswali yatajibiwa siku ya mkutano
Asanteni sana.
Nawasilisha.

No comments: