Tuesday, December 8, 2015

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
  Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu toka na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu toka na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015

1 comment:

Unknown said...

Waandiahi muwe a bit keen, maelezo ya picha zote zinasema balozi wa Malawi, anaeonekana akiwa mwafrika na mzungu at differnt ocasions!