Monday, December 7, 2015

SIKU YA MTANZANIA SEATTLE, JIMBO LA WASHINGTON YAFANA

 Wadau mbalimbali na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani Pcha zaote na Aziza Hemed mwakilishi wa Vijimambo Seattle, WA.
 Baadhi ya watoto wakiwa wamoja waliojumuika na wazazi wao katika kusherehekea siku ya Mtanzania iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani
 Wadau wakijumuika pamoja na marafiki zao katika kusherehekea siku ya Mtanzania iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani
 Siku ya Mtanzania ikijumuisha Watanzania waishio Settle na vitongoji vyake walipojumuika pamoja na marafiki zao kusherehekea siku hiyo iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani

 Ni furaha kukutana, kucheka, kufurahi na kula pamoja kama walivyofanya Watanzania wa jimbo la Washington, Seattle katika siku ya Mtanzania iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani
 Wadau mbalimbali na marafiki zao wakiwa katika kusherehekea siku ya Mtanzania iliyofanyika Jumamosi Desemba 5, 2015 jijini Seattle, jimbo la Washington nchini Marekani

No comments: