ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 26, 2016

BALOZI MWANAIDI MAAJAR ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKE WA MAREHEMU GEORGE SEBO

Aunty Grace Sebo akisoma waraka wa rambirambi kutoka kwa aliyekua Balozi wa Tanzania nchini Marekani 2010 mpaka 2012 Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar baada ya kupata taarifa za msiba wa marehemu George Sebo uliotokea Januari 18, 2016 katika hospitali ya Prince George iliyopo Maryland. Balozi Mwanaidi Maajar alitoa pole kwa mke wa marehemu na familia yote kwa ujumla kwa kumpoteza mpendwa wao.

No comments: