Sunday, January 3, 2016

KIJANA MWENYE KIPAJI CHA KUCHEZA NA BAISKELI MITAA YA MUHORO DAR


Kijana mwenye kipaji cha kucheza na baiskeli Rashid Mmanga wa kariakoo mtaa wa muhoro anaomba udhamini hili kuendeleleza kipaji chake hicho alichojizolea umaarufu ndani ya jiji la Dar _Es-Salaam na vitongoji vyake. Yeyote mwenye kuvutiwa na mwenye moyo wakutaka kumsaidi basi anaweza kuwasiliana kwa kupitia number yake ya kiganjani ( +255719941413) Pia hata ukiwa na mambo ya murudani pia unaweza kumpata kupitia number hiyo hiyo kiroho safi. Hapa chini ni Video yake jitililishe mautundu yake akiwa na baiskeli hiyo ya miguu miwili.


No comments: