Advertisements

Sunday, January 31, 2016

PICHA BAADA YA MAZISHI YA MPENDWA WETU UNCLE GEORGE SEBO

Meza iliyopambwa picha ya mpendwa wetu George Sebo aliyeaga Dunia siku ya Jumatatu Januari 18, 2016 katika hospitali ya Prince George iliyopo Maryland nchini Marekani na mazishi kufanyika siku ya Jumamosi Januari 30, 2016 katika makaburi ay Gate of Heaven yaliyopo Silvr Spring, Maryland.
Mke wa marehemu Aunty Grace (kushoto) akijumuika pamoja na Watanzania wengi kwenye chakula cha jioni baada ya maziko ya mumewe katika hotel ya Garden Inn ilyopo Greenbelt, Maryland.
Kulia ni Abdul Sebo mtoto wa marehemu akiwa na mewe na mtoto wao wakijumuika na Watanzania wengine kutoka kila kona ya Marekani.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: