Monday, January 18, 2016

TANZIA: GEORGE SEBO MWENYEKITI WA CCM DMV HATUNAE TENA

Aliyekuwa Mwenyekiti tawi la CCM DMV Bwn. George Sebo enzi za uhai wake

George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV amefariki Dunia muda si mrefu Katika hospitali ya Prince George taarifa zaidi zinakuijia hivi punde

5 comments:

Anonymous said...

Poleni sana DMV wote, ccm na Kanisa la Cathedral of Praise. Mungu awafariji na kuwafuta machozi.

Anonymous said...

Mungu amlaze mahali pema peponi.Baba wa watu alikuwa mcheshi,sana alikuwa achangui mdogo wala mkubwa wote anawaheshimu,poleni sanna Aunty Grace.

Anonymous said...

R.I.P kaka yetu. Muwe Pole sana Mke wa marehemu, Watoto, na Familia yote.

Anonymous said...

Uncle George you will be missed! Upendo wako, jokes zako na uzuri wako tuta ukosa sana. Earth has lost a great man, but heaven has gain an angel. Rest in Peace!Keep a look out for us now!

Unknown said...

May Almighty God rest his soul in peace.Shalom uncle