Monday, January 18, 2016

TANZIA- TAARIFA YA MSIBA DMV

Mzee George Sebo enzi ya uhai wake.

Familia ya Sebo inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao mzee George Sebo kilichotokea leo January 18, 2016 katika hospitali ya Prince George Maryland, Nchini Marekani.

Kama ilivyo mila na desturi kupeana pole ndio ustaraabu wetu ili tujumuike pamoja na kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao.

Msiba upo 1801 St Georges Way,
Bowie, MD 20721

Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na
Aunty Grace 202 271 1860
Abdul Sebo 202 640 3883
Tino Malinda  240 565 7133

Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie. Ampumzike kwa amani. Amina.

1 comment:

Anonymous said...

R.I.P mzee Sebo, nashukuru kwa mapokezi uliyotupa nyumbani kwako na shukran kwa kuishi vema na baba yangu mdogo Mchungaji Peter Igogo. Asante na pumzika kwa amani ya Bwana.

Poleni wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki. Pia poleni wana DMV kwa msiba iliyoongozana.......Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele!

Alpha Igogo