Tuesday, January 12, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDA MHUMBILI KUMSALIMIA SUMAYE NA BALOZI KIBELLOH

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye  ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Balozi Hassan Kibelloh ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Anonymous said...

labdaa huyu sumaya anataka kurudi anaomba ajira kijanja janja.halaaaaaaaaaaaaaaoo

kama kweli kuna zaidi ya kifo amakuwa mwana ukombozi wa chadema mbona hajatoa pole.

wadanganyika tutaka hivi hivi daima kwa kudanganyika kwa kiini macho kama hivi. halaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwanangu

Anonymous said...

Looks like a 5 Star hotel, and on the other side the normal people are sleeping on a concrete floor!