Apartment ya kupangisha Ina unity 6 sasa hivi kuna mpangaji mmoja kaingia hivyo units 5 ziko wazi. Vyumba vitatu vya kulala, bei ni 1200 na furniture na $1000 bila furniture, pia tunaweza kuongea bei vizuri kama anakaa zaidi ya mwaka. Nyumba ipo msasani peninsular karibu na barbecue hotel Kama upo Tanzania SIMU +255 784 431 871 AU kama Upo USA SIMU +1978 799 5790
3 comments:
Hivi, kwa nini tunapenda kutumia USD wakati tuna pesa yetu ?? Hili nalo ni Jipu
Mnatakiwa mpangishe in tsh na sio dollars kwani mmeskia USA inapangisha kwa tsh?kila nchi itumie hela yake
Watapanga matajiri wenzenu wa uswasi fola tuzipate wapi,,,kuna vyumba buku jero nalala poa,,asante kwa taarifa lakini
Post a Comment