Dakika 11 za vurugu zilivyotokea katika uchaguzi wa Meya Dar
2 comments:
Anonymous
said...
Polisi inayoongozwa na ndg Siro kwa kweli wana Dar tunaendelea kuona yale yaliyootarajiwa. huu ulikuwa uchaguzi lakini la kushangaza polisi walipelekwa kwa wingi na tangazo la kuzuiwa likatolewa kwa mantiki ya maandalizi ya kuleta vurugu! ilikuwa inaeleweka wazi siksu ya uchaguzi sintofahamu imejitokeza wappi?? CCM kwakweli mnatuletea mtafaruku waTANZANIA? Serikali Awamu ya tano bado iko mikononi mwa awamu ya nne na kama JPM utaendelea kumsikiliza nadhani hata hayo majipu yatabakia vile vile hapa ulipofikia ni asilimia 0.09 kwani kuna uozo mkubwa hata ndani ya chama cha CCM hujajua tu hili wanakutafuna taratibu mwisho wa siku tunarudi palepale. hebu vuta pumzi uwakataze kuja humo mjengoni.. Amani.
Huyo kamanda Sirro hajui hata kazi na majukumu yake ya kazi ya upolisi. Kazi yake ni to " to serve and protect the general public" na wala sio kuchukua amri na vimemo toka serikalini. Naona ili tuwe na jeshi la polisi lisilo la kisiasa ni bora wananchi wapewe uwezo wa kuwapigia kura makamanda wakuu wa polisi na waendesha mashtaka ili kupunguza siasa kweli ulinzi wa raia na mali zao.

Post a Comment