ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 2, 2016

MABONDIA MOHAMEDI MATUMLA NA COSMAS CHEKA WASAINI KUZITWANGA SIKUKUU YA PASAKA

Bondia Cosmas Cheka akipokea mkataba wake wa kuzipiga na Mohamed Matumla siku ya sikukuu ya Pasaka kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kutiliana saini ya kuzipiga siku ya sukukuu ya Pasaka katikati ni mdau wa masumbwi nchini Abdallah Mwasora 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto ambaye ni mklatibu wa mpambano wa bondia Mohamed Matumla kulia atakaepambana na Cosmas Cheka akikabidhiwa mkataba wake pamoja na sehemu ya malipo ya mchezo wake utakaochezwa siku ya sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam 
Bondia Mohamed Matumla akisaini mkataba wake wa kuzipiga na Cosmas Cheka siku ya sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwesabia kiasi cha fedha ambacho alikabidhiwa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake
Bondia Cosmas Cheka kushoto akitia saini mkataba wa kuzipiga na Mohamed Matumla mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka kulia ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'super D' 
Bondia Cosmas Cheka kushoto akihesabu sehemu ya fedha zake kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' 

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wamesaini kuzipiga siku ya sikukuu ya Pasaka uzito wa kg 61 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa

akizungumza baada ya kutiliana saini ya mikataba kwa mabondia hawo

Mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema nimewasainisha mabondia Mohamed Matumla atakaezipiga na Cosmas Cheka ata hivyo nipo kwenye mazungumzo na mabondia Fadhili Majia na Nassibu Ramadhani ambao nilikuwa ningie nao mikataba ata hivyo kambi hizo mbili wametofautiana kiswahili kuusiana na mikataba hiyo ata hivyo naendelea kushawishi kambi zote mbili ziwe katika msimamo ambano tumekubaliana ili tufanye kazi

mana tulikuwa tusaini mpambano uho leo rakini mezani nilikuwa na kambi moja tu ya Ramadhani hivyo atukuweza kuelewana na kambi ya Majia

wakati uho uho bondia Vicent Mbilinyi atatwangana na Mwinyi Mzengela katika mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63

na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atakumbana na Twaha Kiduku mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali

No comments: