ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 27, 2016

MAGAZETI LEO JUMAMOSI FEB 27, 2016

2 comments:

Anonymous said...

Ukisikiliza habari ya haya magazeti utakuta kuna upungufu mkubwa wa uandishi. Sikiliza habari ya TANESCO kupunguza bei na mwisho kuna gazeti linasema Tanesco yapeleka maombi EWURA kupandisha bei. Mara kukopa hela benki kujiendesha!!!!!

Anonymous said...

Hii ni kweli kabisa ,uandishi wa habari imekuwa ni profession nyepesi sana,mainly nadhani kwanza ni tatizo la jamii yenyewe kupenda habari za ki majungu x2 na zisizothibishwa.
Lakini vilex2 hakuna scrutiny ya habari zenyewe hatakama zitaonekana kuwa si za kweli.hakuna legal action against media houses husika etc.