ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 23, 2016

Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin afiwa na Mtoto wa dada yake

Ni taarifa ya Simanzi kutoka Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kama Asya Idarous Khamsin, hivipunde amepokea taarifa ya msiba wa Mtoto wa dada yake ambaye anaitwa Bashir abdulbak, huko Zanzibar ambaye ameugua kwa muda mfupi na hatimaye kupoteza uhai leo Alfajiri. Mazishi yatakuwa mwembetanga Zanzibar saa 9 mchana Leo, hivyo salamu ya Pole iwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki walio guswa na msibahuo, Mungu awatie nguvu na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Pia taarifa hii ya Simanzi iwafikie wadau wote wa mitindo kwani msiba huu ni wetu sote.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema

No comments: