ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 23, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA ZAMBIA NCHINI MHE JUDITH KANGOMA-KAPIJIMPANGA LEO IKULU

Balozi wa Zambia nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli 
alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne February 23, 2016

Picha na ikulu

No comments: