Advertisements

Monday, February 8, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AWAANDALIA CHAKULA VIKOSI VYA ULINZI ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa wakati wa  chakula alichowaandalia askari wa vikosi vya ulinzi katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

 Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula wakati wa hafla ya chakula maalum iliyofanyika katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
  Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame baada ya hafla ya  chakula maalum ilichokiandaa kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar  Mjini Unguja. Picha na Ikulu.

3 comments:

Anonymous said...

nini dhumuni la chakula hichi?

Anonymous said...

Ni ulinzi lkn tusisahau kuna muumba mungu na ardhi na vikosi vya ulinzi just kukumbushana

Anonymous said...

Vijana wetu wanastahili kupewa shukrani hata kama ni chakula au vinywaji. Wanafanya kazi nzuri sana kuilinda nchi yetu dhidi ya maadui wa ndani na nje. Bravo Brig. Gen. Mhaiki na vijana wako.