Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa wakati wa chakula alichowaandalia askari wa vikosi vya ulinzi katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula wakati wa hafla ya chakula maalum iliyofanyika katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame baada ya hafla ya chakula maalum ilichokiandaa kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar Mjini Unguja. Picha na Ikulu.
3 comments:
nini dhumuni la chakula hichi?
Ni ulinzi lkn tusisahau kuna muumba mungu na ardhi na vikosi vya ulinzi just kukumbushana
Vijana wetu wanastahili kupewa shukrani hata kama ni chakula au vinywaji. Wanafanya kazi nzuri sana kuilinda nchi yetu dhidi ya maadui wa ndani na nje. Bravo Brig. Gen. Mhaiki na vijana wako.
Post a Comment