Advertisements

Saturday, February 6, 2016

TANGAZO

Kutakuwa na mkutano wa kwanza wa mwaka
Tarehe:February 6, 2016
SIku: Jumamosi
Saa: 4;00pm /4pm-7:00pm/ saa 1.
Address: Gethsemane Lutheran Church
35 E Stanton Ave
Columbus, OH 43214
KANUNI:
Kila mwanachama ni lazima kuhudhuria mikutano 2 ya mwaka. Kushindwa kuhudhuria mikutano na bila kutoa taarifa kwenye uongozi. utafutwa uanachma wako.
NI MUHIMU KUWEPO KWAKO.
RIBUNI WOTE.

1 comment:

Anonymous said...

Seems you guys aren't well organized. Tangazo lenu halijitoshelezi. Lisomeni tena na tena na mtaona tatizo liko wapi.