Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili /Mloganzila - Dar es salaam wakamilika. Mradi huu umegharimu Dola za Kimarekani milioni 61, ambapo Serikali imetoa Dola milioni 18 na Serikali ya Korea imetoa mkopo wa Dola milioni 43.
Kukamilika kwa Ujenzi wa Chuo cha Tiba cha Kimataifa cha Muhimbili eneo la Mloganzila kutawezesha wanafunzi 15,000 wa udaktari kudahiliwa na kupunguza tatizo la wataalamu wa Afya nchini.
3 comments:
Panapendeza sana..chuo kina medical center pia ya kutoa huduma kwa wagonjwa na vitanda vya kulaza au pahala pa kusoma tu na kutoa madaktari bingwa..
Sijui wajanja wamechota mabillion mangapi hapo, hheeeeeeeeeeeeee
Anony. @12:41 AM huna point, ziba domo lako..tunasonga mbele.
Post a Comment