U.S. Embassy Dar es Salaam
TANZANIA
|
March 29, 2016
FOR IMMEDIATE RELEASE
Statement from Ambassador Mark B. Childress on Decision by Millennium Challenge Corporation (MCC) Board to Suspend Tanzania’s Compact Eligibility
The Board of the Millennium Challenge Corporation (MCC) met on March 28, 2016, and voted to suspend development of a second compact with the Government of the United Republic of Tanzania.
I fully support the Board’s decision to suspend development of a second compact.
The United States and Tanzania have long-standing and deep relationships across many sectors. As Tanzania’s largest bilateral development partner, we will continue our work together to improve health and education, promote economic growth, and advance security.
The full text of the MCC Board announcement is available at the following URL: https://www.mcc.gov/news-and-events/release/stmt-032816-tanzania-partnership-suspended.
To request more information about this statement, please email Japhet Sanga (SangaJJ@state.gov), Senior Information Specialist at U.S. Embassy Dar es Salaam.
686 Old Bagamoyo Road, Msasani, P.O. Box 9123, Dar es Salaam
Telephone +255-22-229-4000, Fax +255-22-229-4722
6 comments:
Using a donations money for the political means? I kind not agree with what happened in Zanzibar election but also hate to see a foreign nation using their assistance money as a decoy to put pressure on our country complying with their requirements i don't think that is a right move. That is making sense that the first foreign country for Magufuli to visit should be to China.
Hapa tumebeba mzigo wa Zanzibar. Lakini ni sawa kabisa kwani sote ni nchi moja. Changamoto kwetu ni kuhakikisha tunamuunga mkono Rais Magufuli katika dhamira yake ya kujenga uchumi wa nchi unaojitegemea zaidi kuliko kuwategemea wafadhili. Kuna kudhalilishwa sana unapokuwa omba omba; huu ni mfano mmojawapo. Mwalimu Nyerere alionya sana umuhimu wa kujitegemea na kuimarisha uhuru wa nchi.
Hatuna budi kuwashukuru Wamarekani kutukumbusha hili. Ni kweli wamekuwa marafiki lakini sio kila wanalolitaka tukubaliane nao. Fedha yao wana haki ya kuitumia wanavyotaka. Aidha ni kweli tumetofautiana kuhusu uchaguzi wa Zanzibari. Waliowataka wameshindwa.
Sasa kwetu watu walipe kodi, tupambane na rushwa na tuwekeze kwenye sekta zinazozalisha zaidi na kuwawezesha wananchi wetu kiuchumi. Nchi ni yetu na maamuzi ni yetu. Huo ndio uhuru. Sisi sio Afganistani.
Oh please! Excuse me. This is hypocrisy at is best. Elections and media freedom? Why would the USA continue its massive aid to Egypt where a democratically elected government was overthrown and media freedom is an alien notion?
It wud be helpful to come clean and call it for what it is: political expediency! Thank God for Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania.
The USA has been a friend. At times friends differ. This is such a time. However, we should differ respectfully. Intimidating tactics illustrates why the USA has often got it so wrong.
Anon wa 3:34am, umeongea vitu vya maana kwa kiasi fulani nimefurahi kugomewa kwa hii misaada kwa serikali ya Tanzania kutoka kwa wamerikani na furaha yangu mimi sio ile furaha ya yale wapuuzi wanaochekelea jahazi kuingia maji wakati wao wenyewe wamo humo humo ndani ya jahazi. Furaha yangu mimi yakukatiwa misaada kwa serikali ya Tanzania kutoka kwa wamarekani ni yale matumaini yangu yakwamba labda ipo siku viongozi wetu wa nchi watashtuka yakwamba hii misaada sio misaada bali ni udhalilishwaji wa hali ya juu. Kwanini tusubiri mtu kutuambia mimi sitaki kukusaidia tena badala ya sisi wenyewe kupambana na kutafuta njia muafaka yakumwambia huyo mwenye misaada yake mdhalilisho kwamba hatutaki tena misaada yako.Tutakuwa taifa omba omba na kutegemea kusaidiwa mpaka lini? Kwani China kuna vyama vingi? Saudia kuna vyama vingi? Mifano ipo tele ya kudhalilishwa kwa nchi masikini kwa kutumia misaada inagaoiwa na baadhi mataifa tajiri kwa kisingizio cha demokrasia lakini ukweli ni kwamba sio uvunjifu wa dekrasia katika nchi zetu ndio unaopelekea kukatiwa hiyo misaada bali unyonge wa nchi zetu kiuchumi ndiko kunakopelekea hayo manyanyaso. Lazima watanzania na waafrica tuamke na kuachana kabisa na hii misaada kwani chanzo cha kuuza utu wetu. Lazima tufanye kazi kwa bidii kuondokana na umasikini na kujenga taifa lenye kujitegemea.
Pamoja na haya yote hakika tutapita tu. Tukumbuke katika miaka ya 1980s Mwalimu aliwakatalia walivyotoa masharti magumu kwetu lakini pamoja na kusitisha kwao kwa misaada tuliweza kufunga mikanda na kuyamudu maisha ingawa yalikuwa magumu. Hivyo swala la kukaa tunanyanyaswa kila wakati na hawa vigeugeu wanaojifanya wenyewe ndiyo wameboboa sana kwenye demokrasia itakuwa vizuri kuachana nao. Kama viongozi wetu na wengine walioandika hapo juu wamedokeza, kilichobaki kwetu Watanzania ni kutumia nguvu zetu Mwenyezi Mungu ametupa ili tufanye kazi zaidi na kwa hakika tutashinda kwani wahenga "walisema Mwenyezi Mungu hawatupi waja wake".
Post a Comment