ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 27, 2016

GLORY ALEX NDIYE MWENYEKITI MPYA WA UTNC


Glory Alex mwenyekiti mpya UTNC

Tume ya uchaguzi ya Umoja wa Watanzania North Carolina imemtangaza Glory Alex mweneyekiti mpya wa Jumuiya hiyo katika uchaguzi uliofanyika siku ya Jumamosi March 26, 2016 katika hoteli ya Comfort Suites katika mji wa Durham, North carolina nchini Marekani. Viongozi wengine walioshinda kwenye uchaguzi huo ni Katibu Maria Kalala Nyang'oro, Katibu Msaidizi Scolla Kiemi, Mweka Hazina Pandwe Kalala na Mweka Hazina msaidizi Magayo Harrison. Pia kwenye uchaguzi huo walichaguliwa wajumbe wa bodi ambao ni Shaban Mwampambe, Nassoro Basalama, Julius Shayo, Bremer Jonathan na Sam Temu.
Picha ya pamoja ya viongozi na wajumbe wa Bodi
Picha ya pamoja.

No comments: