Bondia THomasi Mashali kushoto akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa
Bondia THomasi Mashali katikati akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa kushoto ni bondia Fransic Miyeyusho
Bondia Ramadhani Shauli kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga Mei 14 na bondia Salim Salim kutok Malawi katikati ni katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta na kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi
Bondia Ramadhani Shauli akisani mkataba wa kuzipiga na Salim Salim kutoka Malawi mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kulia ni kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi
Kiongozi wa PST Anton Ruta akitia saini mkataba wa bondia Nassibu Ramadhani kushoto
Bondia Nassibu Ramadhani akisaini mkataba wa kuzxipiga na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kulia na kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi
Katibu wa shilikisho la Masumbwi Tanzania Anton Ruta akimsainisha bondia Fransic Miyeyusho
No comments:
Post a Comment