Familia ya Marehemu Maj. Gen. James Luhanga na Mama Bertha Luhanga inawakaribisha katika Misa Takatifu ya kumbukumbu ya kijana wao mpendwa James Luhanga Jr.(pichani)
aliyefariki dunia Februari 3, 2016, Mkoani Iringa, Tanzania.
Misa itakua Jumamosi, Machi 19, 2016 kuanzia saa tano na nusu (11:30am) asubuhi.
St. Edward Catholic Church,
901 Poplar Grove St.
Baltimore MD 21216.
Reception itafuata baada ya Misa.
Kwa habari zaidi wasiliana na:
Eliza (Liz) Luhanga (202) 340 2900
Pam Luhanga (240) 422 7432
Mathias Choma (202) 247 6524
"Raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani. Amen"
KARIBUNI SANA.
6 comments:
Our family chain is broken and our lives are not the same, But as God calls us one by one the chain will link again.....
REST IN PARADISE mdogo wangu mpenzi...
R.i.p
Poleni sana dada Liz na Pam. Tupo nanyi katika kipindi hiki kigumu. Please, stay strong, Amen.
"Death leaves a heartache no one can heal, love leaves a memory no one can steal". We will always missing your love. RIP James
May Good Lord continue to rest my brother's Soul in Internal Peace.....Always will miss you and Love you so!
NIMEGUSWA SANA NA MSIBA WA HUYU JAMES RAFIKI YANGU TUMECHEZA WOTE UTOTONI HAPA MWANZA 1996 NAITWA GALLUS GOSBERT HUYO JAMES KASOMEA NYAKAHOJA JIRANI NA NYUMBANI AU HINDU HOSPITAL TAARIFA ZA MSIBA NDIYO NIMEPATA LEO 28/08/2022 MARA YA MWISHO ALIKUWA HAPA MWANZA PALE ST.AUGUSTINE CHUO SAUTI MWAKA NDIYO NIMESAHAU LAKINI ALINIAMBIA BABA ANAUMWA ANAENDA KUMWONA,TENA NAKUMBUKA ALILALA NYUMBANI SIKU MOJA AISEE NIMEUMIA SANA SANA SANA R.I.P
Post a Comment