ndugu na jamaa wakiwa pamoja na baba wa marehemu kichanga aliebeba jeneza la marehemu mtoto wake, kumsitiri katika makaazi yake ya milele
kaburi la marehemu kichanga aliezikwa leo jumamosi likiwa tayari limekamilika, hii ndio nyumba yetu ya milele
2 comments:
inna lilahi waina illahim rajiun.pole sana bwana said said na family yako yote.Allah akupeni nguvu ya kustahamili mtihani wake huu mkubwa kwenu.Amin.
na motto anaitwaje?
na one thing jamani ndugu zangu mkiende mazikoni msipozi kwenye picha kama mko harusini na kukaa na kuangalia visimu vyenu hivi kweli kukaa kwa mnashindwa kuheshimu hisia za mwenzenu baa said aliyefiwa.mkitazama tu hii picha mnamuona anauchungu sana wa kufiwa sema kazi ya Allah haina makosa.
so nyinyi mnacheki simu zenu na kupicha picha kishkaji mtadhani mko harusini come on guys.
tuwe wastaarabu uislamu ni ustaarabu na ugwana.
samahanini kama nimekukoseeni kwa maneno yangu
pole sana tena bwana said na family yako yote.
pole sana sana kaka imenigusa sana
Post a Comment