ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 26, 2016

MZISHI YA MTOTO WA KAKA YETU SAID ALI SAID YALIOFANYIKA KATIKA MAKAABURI YA GEORGE WASHINGTON CEMETARY ADELPHI, MD

 Baba mzazi Said Said akiwa amebeba mwili wa marehemu mtoto wake ukiwa ndani ya jeneza tayari kwa kuzikwa katika makaburi ya george washington cementary Adelphi, Maryland
ndugu na jamaa wakiwa pamoja na baba wa marehemu kichanga aliebeba jeneza la marehemu mtoto wake, kumsitiri katika makaazi yake ya milele
 kaburi la marehemu kichanga aliezikwa leo jumamosi likiwa tayari limekamilika, hii ndio nyumba yetu ya milele
























2 comments:

Anonymous said...

inna lilahi waina illahim rajiun.pole sana bwana said said na family yako yote.Allah akupeni nguvu ya kustahamili mtihani wake huu mkubwa kwenu.Amin.

na motto anaitwaje?

na one thing jamani ndugu zangu mkiende mazikoni msipozi kwenye picha kama mko harusini na kukaa na kuangalia visimu vyenu hivi kweli kukaa kwa mnashindwa kuheshimu hisia za mwenzenu baa said aliyefiwa.mkitazama tu hii picha mnamuona anauchungu sana wa kufiwa sema kazi ya Allah haina makosa.

so nyinyi mnacheki simu zenu na kupicha picha kishkaji mtadhani mko harusini come on guys.

tuwe wastaarabu uislamu ni ustaarabu na ugwana.
samahanini kama nimekukoseeni kwa maneno yangu

pole sana tena bwana said na family yako yote.

Anonymous said...

pole sana sana kaka imenigusa sana