Golikipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Uganda aliyepata kuichezea Simba SC, Abel Dhaira amefariki dunia jumapili ya leo!
Hadi anafikwa na umauti Dhaira alikuwa anachezea klabu ya IBV Vestmannaeyjar ya nchini Iceland!Hivi karibuni tuliripoti kuwa mchezaji huyo alikuwa katika hali mbaya kutokana na kusumbuliwa na saratani ya utumbo.
Taratibu zinafanyika kuweza kusafirisha mwili wake kurudi Uganda.
PUMZIKA KWA AMANI ABEL DHAIRA.
Pichani!
Marehemu Abel Dhaira kushoto.
No comments:
Post a Comment