Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.
Mwakilishi wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji ili kutunza mazingira.
Wenyeviti na maofisa watendaji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (hayupo pichani)
Maofisa Watendaji na Wenyeviti wa Manispaa ya Kinondoni wakipiga makofi kwenye mkutano huo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
1 comment:
Huyu katibu tawala anaongoza mkutano? Mbona hajui chochote....si ndiyo yule aliyesababisha mkutano wa kumchangua meya wa Dar ushindwe kuendelea baada ya kuleta pingamizi la mahakama lililo feki. Halafu akasema uongo kuwa amepigwa kumbe ni muongo.Hicho cheo alichonacho kwanza hakikupaswa kuwepo.
Post a Comment