ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, March 1, 2016
TAREHE ADHIMU KATIKA MZUNGUKO WA MWAKA FEBRUARY 29
TAREHE 29 YA MWEZI WA PILI AU FEBRUARY NI TAREHE AMBAYO KILA BAADA YA MIAKA MINNE (4) INATOKEA MARA MOJA, KWA WALE WALIOZALIWA TAREHE HIYO WANAKUWA NA UCHACHE WA KUIPATA TAREHE HALISI YA KUZALIWA KWAO, NA HATA MUDA WA KUMALIZIKA KWA VITAMBULISHO VYAO WANAONGEZEWA SIKU MOJA MBELE ZAIDI YA ILE TAREHE YA KUZALIWA.JANA JUMATATU FEBRUARY 29 ILIKUWA MOJA YA TAREHE ADHIMU KATIKA MZUNGUKO WA MWAKA AMBAYO INAPATIKANA MARA MOJA KATIKA MIAKA MINNE. HAPPY BIRTHDAY KWA WALE WOTE WANAOSHEREHEKEA SIKU YAO YA KUZALIWA FEBRUARY 29. NITAWATAKIWA TENA FURAHA YA KUZALIWA KWENU BAADA YA MIAKA MITATU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment