Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa kwa washindi wawili wa wa Promosheni ya Kwea pipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu
No comments:
Post a Comment