ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 1, 2016

BAYBE MGAZA AMZIKA MAMA YAKE

Baybe Mgaza (watatu toka shoto) akiwa nyumbani Tanzania alikokwenda kuuguza na hatimae kumzika mama yake mzazi, akiwa katika picha ya pamoja ndugu, jamaa na marafiki waliofika kumpa pole katika msiba huu mkubwa kwake. Baybe Mgza ni mkazi wa DMV.

Nawashukuru wote tulio Kuwa pamoja kumuuguza mama na kwenye mazishi yake na Visomo vyote viwili ,ndugu na marafiki walikuja kutoka kila pande ya dunia,boda boda ,wauza mboga,majirani hata wengine my sister hakuwajua lakini mama alikuwa marafiki walikuwa wanakuja Hospital kumuona,lakini kwa yote namshukuru sana Mungu nilimuwahi alinikiss na alikuwa very happy kuniona ,nimemzika mama yangu hakuteseka kwa MUDa mrefu ,Mungu amuweke mahali pema peponi Amen,hawa ni baadhi ya marafiki wa DMV waliohudhuria ,special thanks kwa wifi yangu mama Mayor Mlima.

No comments: