Tunawaharifu wanachama wote kutakuwa na mkutano wa wanachama wote hapa DMV Washington DC Virginia na Marland Mukutano utafanyika Jumamosi Tarehe 23 mwezi huu kuanzia saa 9 jioni katika Ukumbi wa Tabeer Restaurant Langley Park. 1401 University Blvd E, Hyattsville MD. Muarifu na mwenzako ni muhimu kufika shime tuudhurie kujadiliana mambo mbalimbali.
Salma Mosha
Katibu itikadi na ueneze.
6 comments:
Nyie Vipi amuelewi? Magufuli Hataki hayo mambo yenu ya chamachama,Fikirieni mambo ya maana ya maendeleo
Kweli kabisa wengine wengi ni raia wa marekani, wengine ni wakimbizi alafu wanasema CCM mmetuchosha
Hahahaaa wanapenda mapande mwaka huu mtu atakwenda jera makufuli hataki mchezo.
Sisiemu DMV anzeni kubuni mipango ya kuanzisha "job opportunities" kwa jamii yenu. Mwenzenu JPM hahitaji hayo ya kukutana na kucheza tara but. BADILIKENI enyi sisiemu.
HALLO HAO MAMBO YENU YA CCM HAYATAKIWI TENA, HUYO SIO KIKWETE WA KUJAKUWAFANYIA MAPARTY KILA SIKU BONGO IMEBADILIKA HUKU NI KAZI TUU MAMBO YA CHAMA HATAKI KUWASIKIA HATA KAMWAMBIE OBAMA.
MAMBO GANI YA CCM MNAYAJUA WAKATI MNAISHI MAREKANI?
they still think the hon prof Dr Jakaya is still President of Tanzania
Post a Comment