Waokoaji wakitoa mwili katika maji baada ya juzama na gari leo alfajiri.
Mchana huu umepatikana mwili wa pili wa Nice Karagwe huku zoezi la kuitoa gari likiendelea
Mwili ukipelekwa kwenye gari la polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi
Gari lapolisi likiondoka na mwili wa mtu aliyefariki baada ya kuzama na gari aina ya Hiace leo alfajiri



No comments:
Post a Comment