RAIS MAGUFULI AFUTA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MUUNGANO MWAKA HUU AAGIZA FEDHA ZITUMIKE KUPANUA BARABARA YA MWANZA- AIRPOT
2 comments:
Anonymous
said...
Asante mheshimiwa Rais. Bado tunasubiria kwa hamu kuweza kuona unachukua hatua stahiki pia kwa fedha inayotumika katika kukimbiza moto wa MWENGE! Sioni kigezo cha kukimbiza mwenge nchi nzima. Ni fedha nyingi tu zinatumika. Bora kama tunauhitaji Ujengewe mahali kama pale mabibo external aliyojiwekea mheshimiwa nanihii ili pawe mahali pa kivutio na wanaokuja kutembelea wawekewe kiwango maalumu kwa kuingizia fedha serikali. NewYork kuna Statue of Liberty. Chukua mfano halo wanaoenda kutembelea hapo. Asante.

Annony no 1 👍👍👍. Hata sisi tuna ka mnara ka Uhuru pale mjini Dar na Arusha 😂
Post a Comment