Sumu hii ya asili ndio inayoendelea kututafuna hadi leo hii. Watoto hawa wa Machief waliona Africa na nchi zake nika mali zao binafsi, Huku wakiendelea kulindwa na Europe na America ,haswa England, French na USA. Hili basi ndilo linapelekea hadi hii Leo African corruption kuendelea na huku wakituchagulia Ma Rais na viongozi wa juu watakao endelea kulinda maslahi yao na ya wakoloni wa Asili.( Europeans)
Kwa Mfano, ukiangali,Nigeria ni Nchi ya 11 dunia Kwa uzalishaji wa Mafuta, na ya kwanza (1) Africa katika oil production, Lakini tangia mafuta yagundulike mwaka 1951, ni asilimia 2% Tuu ya Wanigeria(elite group) wanafaidika na Rasilimali hii hadimu duniani. Wakati Negeria inaendelea ku rank around 160th out of 177 katika maendelea ya Raia wake. Human Development Index (HDI) . First world resources but 3rd world poor country.
Mifano Kama hii iko karibu nchi zote za Africa hata kwetu Tanzania, Kenya na Uganda. Sumu ya asili enaendela kututafuna.!!
6 comments:
DIVIDE AND RULE NDIO ANAYOINENDELEZA MKOLONI MWEUSI ZIDI YA MWEUSI MWENZAKE, SIO TENA YA MWEUPE ZIDI YA MWEUSI (TANGANYIKA ZIDI YA ZANZIBAR)
wewe nenda ukasome shule kwani wanaotawala zenji si wa zenji na siyo watanganyika....laumu serikali na chama tawala
nakumbuka niliona kipindi katikaTv huku ughaibuni , waliwaonyesha wanafunzi wa vyuo kutoka US waliokwenda kutembelea kati ya Mali na nchi nyingine ambazo watumwa walikua wakisafirishwa ! wale wanafunzi walitokwa na machozi , mmoja aka muuliza yule afisa aliekuwa akiwatembeza na kuwapa historia ! Hivi ilikuaje mzungu aje katika nchi i yenu hatakama alikua nabunduki lakini nyinyi mlikua wengi aliwezaje kuwa chukua mpaka aka wasafirisha ? Yule muhusika alimjibu tatizo waliwatumia baadhi ya viongozi wetu sisi wenyewe kusaidiwa kukamilisha dhamila yao kwa kuwapa vizawadi ! muhusika alimalizia unacho kishangaa ndio kinacho endelea kutokea katika serikali zetu za afrika ndio maana tuko hivi ! ndio maana mkaamua kutuita bara la giza !
Umewahi lini kuwahi kumsikia Maalim Seif akijinasibu kuwa yeye ni mtu mweusi? Wazanzibari wengi wenye maji ya kunde au machotara bado wanakasumba hiyo ya nyinyi ni waarabu na wao waafrica. Ni kasumba ya kikoloni iliotumika kuwagawa wazanzibari enzi hizo na mpaka sasa bado inaendelea kufanya kazi.
Jeez! Aliyeandika habari Kiswahili hajui na mtoa comment Kiswahili haujui Zambi, Zidi halafu habari inapostiwa kabisaa no editors no nothing na bado tunajisifia Kiswahili cha kwetu no wonder jirani zetu wanakitumia vizuri na kutuwahi kutranslate Google na kwingineko halafu tunalalamika Shame on us!!

Post a Comment