Advertisements

Tuesday, May 31, 2016

Amplifaya…..Vyama Vya Upinzani Nchini Marekani (LIVE)

Photo Credits: Morgan County Government Website
Wakati uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Jumanne ya Nov 8 ukizidi kukaribia, dunia nayo inazidi kuangalia kile kitakachotokea kwani kwa hakika wagombea wa mwaka huu wanaonekana kuwa na mvuto wa pekee katika kinyang'anyiro hiki.
Lakini licha ya ukweli kwamba ni vyama vya Republican na Democrat
vinavyotawala siasa za nchini humo, lakini kuna vyama vingine vya upinzani ambavyo vimekuwa vikishiriki, na vitashiriki uchaguzi wa Rais wa mwaka huu.
Katika ripoti yake ya Mei 31 2016, Mubelwa Bandio, anatueleza kwanini vyama hivyo vinaingia kwenye kinyang'anyiro na matumaini zaidi?

No comments: