Misa maalum siku ya kinamama iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland nchini Marekani siku ya Jumapili May 8, 2016. Picha na Aloyce Mbullu wa Vijimambo Blog.
Padri Honest Munishi akiongoza misa maalumu siku ya kinamama iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mt. Edward, Baltimore, Maryland siku ya Jumapili May 8, 2016.
Mama Anna Mukami akiongea katika misa maalumu siku ya kinamama iliyofanyika Baltimore, Maryland siku ya Jumapili May 8, 2016.
Ni wakati wakutakiana amani.
No comments:
Post a Comment