Hivi jamani watanzania tutabadilika lini maana sijui kuna watu wengine kama hawaelewi, wamekuambia hiyo ni barabara ya magari ya mwendo kasi na wewe unaunga nyuma yake. Ilo gari la wagonjwa tunaweza kusema lilikuwa linakwepa foleni kwasababu lilikuwa lina waisha mgonjwa lakini hilo gari la nyuma lenye namba T 185 CTB unaweza kujiuliza lilifata nini kwenye barabara ya magari ya mwendo kasi. Tukisema hiki ni kipele na kikiachwa kitakuwa jipu ni kosa. Wahusika mnaliona hili. Picha na Geofrey Adroph
No comments:
Post a Comment