Siku ya jana Jumampili iliadhimishwa siku ya akina mama Dunani na baadhi ya kina baba DMV walituma picha zao waliingia jikoni kuwapikia wake zao na watoto ikiwemo kanisa la Kiswahili DMV kufanya ibada maalumu ya kuadhimisha siku hiyo na wakina baba kuchykua nafasi ya kugawa chakula baada ya kufanya uoishi kwa ajili ya siku hiyo maalum ya kuadhimisha siku ya akina mama duniani.
6 comments:
Safi sana
Safi sanaa jana
Wapi kwenye injil imeandikwa hii ibada? "Angalieni nawaambia watakuja kristo wa uongo nao watadanganya wengi"
aisee ni wataalamu
Tubandikieni nambari ya huyu kaka picha ya TANO toka juu mpikaji wa maandazi, ili tuweze kuweka order, tafadhali..tunapenda sana maandazi.
Du hayo maandazi yameumuka vizuri.Great job!
Post a Comment