Advertisements

Friday, June 24, 2016

BENKI KUU TANZANIA TAWI LA MBEYA (BOT) YAFUTURISHA KATIKA KUSHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWA BENKI HIYO

Waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Mbeya pamoja na wadau mbalimbali wakifuturu futali iliyoandaliwa na benki Kuu ya Tanzania (BOT)Tawi la Mbeya ambapo benki hiyo ipo katika kuadhimisha miaka ya hamsini ya kuanzishwa kwake.Picha E.Madafa na D.Nyembe
Wageni waalikwa ,viongozi wa serikali na viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mbeya wakipita kupata futari kwenye ukumbi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la Mbeya . 
Mkurugenzi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la mbeya Jovenant Rushaka akiongoza kupata futari. 
Wafanyakazi benki kuu Tanzania tawi la Mbeya wakipata futari 
Wageni waalikwa Viongozi wa serikali na wadau mbalimbali wakibadilishana mawazo pamoja na kupata futari iliyoandaliwa na benki kuu Tanzania(BOT) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwa benki hiyo. 
wadau wakipata futari.

1 comment:

Anonymous said...

Jamani tutaendelea lini, fashion ya toothpicks haha kwenye picha. You can't do that especially watu bado wanakula on the same table.