KAULI YA WAZIRI INAVYOKINZANA NA RAIS MAGUFULI KUHUSU WANAFUNZI WALIOFUKUZWA CHUONI
1 comment:
Anonymous
said...
Hivi Magufuli alivyoongelea form 4 wenye division 4 waliodahiliwa kusomea shahada chuo kikuu alikuwa anazungumzia wanafunzi waliofukuzwa UDOM au watu tunachanganya mambo? Alichokisema waziri ndicho kitu ambacho mimi ninakifahamu (na hata wabunge wanakifahamu pia) kuhusu tatizo la wanafunzi wa UDOM. Sasa habari ya kukinzana kwa kauli kunaanzia wapi? Wabunge wameshasema mara kadhaa kwamba waliogoma ni walimu, sio wanafunzi. Sijasikia mbunge yeyote akizumgumzia kitu tofauti na hicho.
Hiki ndicho kinachotokea mtu asiyekuwa na mafunzo ya taaluma ya journalism anapojifanya journalist! It's appalling!

Post a Comment