Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papua
New Guinea katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea Baada ya kukamilisha
ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa
nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific uliojadili masuala ya kukuza Usawa na
Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu
ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa
uliomalizika Jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya Picha yenye Nembo inayotumika Nchini
Papua New Guinea kutoka kwa Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papur New
Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea
alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli
katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific uliojadili masuala ya kukuza Usawa na
Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu
ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa
uliomalizika Jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi
Nchini Papua New Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel
mjini Guinea alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John
Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na
Pacific uliojadili masuala ya kukuza
Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha
majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa
kisiasa uliomalizika Jana. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment