Advertisements

Monday, June 20, 2016

Mama Bishanga! Cavaliers Cleveland oyeeee! Ushindi

mjini kwetu Cleveland, timu yet ya Cavaliers imeshinda the> world NBA Championship. Nimeshindwa kuweka picha zote 3 kwenye email moja hivyo nakutumia 2 Zaidi, naomba
uziweke kwenye page moja zote ukianzia na hiyo ninyoonekan nikishangilia na maelelzo yake yananyasoma watu tuliokusnayika nyumbani kwa Rukia mtot wa marehemu shekh Yaya Husein, na zingine zifuate chini yake halalfu umalizie kwa kuandika Mrs Christiana Marolen / Mama Bishanga Bajaiga wa chijijini iweee!

No comments: