Advertisements

Sunday, June 19, 2016

NG'ARING'ARI YA DIANA FAUSTIN KARIOKI KWENYE SENDOFF YAKE ILIYOFANYIKA DAR.ES.SALAAM TANZANIA


Bibi harusi mtarajiwa Diana Faustin Karioki akiwa kwenye kiti cha kunesa nesa siku ya Sendoff yake iliyofanyika Dar-Es-Salaam na kuudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki wa upande wa Bibi harusi. Harusi yenyewe itafanyika Arusha waliko upande wa mumewe mtarajiwa Bwana Kaijage Gilbert Kishekya.

Bibi na Bwana harusi mtarajiwa wakipata ukodak na wapambe wao.

Ndani Ukumbi kulikofanyika sendoff hiyo ukiwa ng'aring'ari kabla ya Bibi harusi na Bwana harusi kuingia ukumbini hapo. Kwa picha zaidi jitiririshe chini kwa kwenda soma zaidi.Bibi harusi mtarajiwa Diana akiwa ameachia tabasamu la matumaini katika safari yake ya maisha ya ndoa na mume wake mtarajiwa bwana Kaijage


No comments: