Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Islam Seif Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Mifugo na Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Islam Seif Salum baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Mifugo na Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Hassan Abdulla Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu Habari katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Hassan Abdulla Mitawi baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Habari katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd, Rafii Haji Makame kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd, Rafii Haji Makame baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimwapisha Nd, Rafii Haji Makame baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Viongozi walioshiriki katika hafla ya kuwapishwa Watendaji katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika hafila iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,(kutoka kushoto) Mhe,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Haji Khamis,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Said Hassan Said na Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,(kulia) akifuatiwa na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi mhe,Hamad Rashid Mohamed,Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, Mhe. Rashid Ali Juma,pamoja na Viongozi wengine akiwepo Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Mhe. Ayuob Mohamed Mahmoud wakiwa katika hafla ya kuwapishwa Watendaji katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo Ikulu Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment