Monday, June 13, 2016

Yanga walivyoamua kuanza mazoezi ya usiku Uturuki

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans ambayo kwa sasa ipo Antalya Uturukiikijiandaa na mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya MO Bejaia ya Algeria, wameanza kufanya mazoezi ya usiku ilikukabiliana na hali ya baridi na ukilinganisha mchezo utachezwa usiku.
Credit:Millard Ayo.com

No comments: